Natafuta binti Salaf wa kuoa

Hapa ndio kwenye shida ya dini yangu

1. Al Sunnah waljamaatuh
2. Sunni(Wahabbiya)
3. Suffih
4. Salafiyah
5. Ahmadiyah
6. Shiyah

Dini moja, Mungu mmoja, Mtume mmoja, kitabu kimoja tumakundi makundi twa nini? Tunakosa umoja ndio maana middle East kanchi kama Israel kanasambaratisha waislam wa nchi zote za middle East kwa ajili ya kukosa umoja ni shida sana

Anyway, mleta mada upate hitaji la moyo wako inshallah
 
Hapa kwenye haya makundi ondoa shiya na ahmadia haya hayafai kabisa kwenye uisilamu na sio miongoni mwa waisilamu.
Ahl sunna na Salafi hawa ndio huitwa Wahabi kwq pmj.
Sufii ndio bakwata ambao ni waisilqmu pia ila kuna madhaifu yao lkn yanarekebishika na hayajawatoa kwenye uisilamu kwa maana mapungufu yao wengi ni kuzusha tu baadhi ya mambo kwenye dini kwa kukosa tu elimu
Mf suni na salafi anaweza kuswali nyuma ya sufi lkn si nyuma ya shia wala ahmadia
 
Shekhe fungua markaz tu tuje kusoma.
 
Kama ana sifa zote ila hana shape halafu ni mweusi hafai?🤔
 
Sasa shkh wangu kweli salaf uumpate jf....ata kama yupo na yeye atakushangaa,.

Ushauri wangu nenda pale pongwe markaz uonane na uongozi,utapata unachohitaji
 
Na hilo ndio tatizo ndio maana gaza wanauliwa saudia wanashangilia
 
Na hilo ndio tatizo ndio maana gaza wanauliwa saudia wanashangilia
Ila Watanzania kwa kukurupuka hatuna baya kitu si kitu utaskia “Ndio maana Gaza wanauliwa” Unaweza kutoa ushahidi walau wa maneno yanayo onyesha gaza wakiuliwa huku saudia wakishangilia?!
 
Ila Watanzania kwa kukurupuka hatuna baya kitu si kitu utaskia “Ndio maana Gaza wanauliwa” Unaweza kutoa ushahidi walau wa maneno yanayo onyesha gaza wakiuliwa huku saudia wakishangilia?!
Kwamba nipo mahakamani nimeshitakiwa na nguruwe pori netanyahu?😅😅😅 Natakiwa kutoa ushahidi
 
Hahhah huna cha kujibu, Anyways but zaidi ya mara moja huwa nmekuona like you hold inflexible views while you’re unwilling to accept corrections😌.
Ukiona nimesema kitu jua ni kweli siku hizi ukweli unavungwa vungwa kwa propaganda za media uchwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…