Mwita Mtu Mrefu
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 739
- 1,113
Tabata aroma DarLocation?
Mtaji wa laki 1 ungekuwa wewe ungelipa mshahara sh ngapi?Buku 3 jamani 😳😳😳 hata kama atakuwa anakula hapo hapo lkn daah maisha haya 🙆♂️🙆♂️🙆♂️
Kweli mkuuJf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!
Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
Yah naelewa na sio kwamba nmekejeli huo mshahara, ndo mana nkashika kichwa kuonyesha haya maisha sio ya kispoti spotiMtaji wa laki 1 ungekuwa wewe ungelipa mshahara sh ngapi?
Jibu kama mtu anaejua kukokotoa Operation expenses mpaka kubakiza net profit, mtaji ubaki pale pale biashara isife
...mkuu Kwan lazima awe binti ... Kama kuna kijana wa Kiume mpishi mzuri wa chapati , Ana lugha nzuri kwa wateja,mjuzi wa hesabu, anajua kuhudumia vizuri wateja na ni mchangamfu .. hakufai ? Kwakua sio binti.?Hello Jf
Binti wa kazi anatafutwa.
Sifa
1. Ajue kupika chapati
2. Awe na Lugha nzuri kwa wateja na mchangamfu
3. Ajue hesabu
4. Awe anajua kuhudumia vizuri
Kazi ni ya mama ntilie, kuuza supu na chapati
Mshahara ni 3000 kwa siku, nyongeza utajadiliana na boss wako.
Chakula utapata hapo hapo asubuhi.
Kazi inaanza saa 1 asubuhi mwisho saa saba
Piga simu 0744033555
Tupunguze comment za kejeli, ukiona mshahara mdogo endelea na mishe zako.
Mama ntilie na watu wa bar huwa wanahitaji mabinti kwa sababu nyingi tu....mkuu Kwan lazima awe binti ... Kama kuna kijana wa Kiume mpishi mzuri wa chapati , Ana lugha nzuri kwa wateja,mjuzi wa hesabu, anajua kuhudumia vizuri wateja na ni mchangamfu .. hakufai ? Kwakua sio binti.?
Wanalipwa 4000?Jf ina vijana wa ajabu sana, mbona hamsemei mishahara ya viwandani huko watu wanafanya kazi masaa 12 kwa elfu 4? Chakula juu yao!
Nendeni hapo ubungo external mkaone nyomi ile ndo mje hapa kukashifu ajira nyingine..
Aisee, haya mkuuMama ntilie na watu wa bar huwa wanahitaji mabinti kwa sababu nyingi tu.
Nadhani wanaume wanaelewa hili kwa kirefu..
Karibu supu kongoro mixer karafuu
Ndio ukweli huo hornet..Wanalipwa 4000?
Eeh sawa haji manaraHuo sio mshahara hiyo ni posho
Kama una vyombo vyako tayari mtaji ni kama laki 1 tu. Kodi ya eneo ni elfu 15 kwa mwezi. Ni pembezoni mwa reli/barabaraMkuu mtaji wa hiyo biashara roughly ni kiasi gani?