Natafuta binti wa kazi za ndani

Natafuta binti wa kazi za ndani

Grace Jerryson

New Member
Joined
Jul 23, 2022
Posts
3
Reaction score
1
Habari zenu jamani. Natafuta Binti wa kazi, Eneo ni Dar es salaam (Mbweni) ! Binti awe na uwezo wa kusoma na kuandika, umri kuanzia miaka 18. Kazi ni ya kuish hukuhuku na nyumba haina watoto. Mshahara maelewano.

0692917101 (call or whatsap tu)
 
Nikikumbuka nilivyo tapeliwa na agent na house girl wake sina hamu na beki 3 mama…e. Nimeharamika laki 3 kumleta kafanya kazi wiki 2 karudi kwao mbuzi kweli
 
U
Nikikumbuka nilivyo tapeliwa na agent na house girl wake sina hamu na beki 3 mama…e. Nimeharamika laki 3 kumleta kafanya kazi wiki 2 karudi kwao mbuzi kweli
Ungemtia Dole upoze machungu ya pesa yako!
Wanakera sana hao watu.
 
Back
Top Bottom