Grace Jerryson
New Member
- Jul 23, 2022
- 3
- 1
Ungemtia Dole upoze machungu ya pesa yako!Nikikumbuka nilivyo tapeliwa na agent na house girl wake sina hamu na beki 3 mama…e. Nimeharamika laki 3 kumleta kafanya kazi wiki 2 karudi kwao mbuzi kweli
🤣🤣 nilimpata mmoja huyo mvivu hatariiii akifika tu yeye analala😁 anafanya kazi kama saa limoja anaangalia movie.U
Ungemtia Dole upoze machungu ya pesa yako!
Wanakera sana hao watu.