MrGeneous
JF-Expert Member
- Oct 3, 2020
- 562
- 285
Hellow wapendwa, mimi ni kijana wa kiume miaka 25 now, muislamu, kabila ni msambaa wa lushoto, elimu ni daktar lakini pia ni askari,naishi Dar es Saalam. Nahitaji binti wakuanzisha mahusiano hadi kufikia kuoana vigezo ninavotaka [emoji1313][emoji1313]
1. Awe muislamu na awe na hofu ya mungu sana.
2. Awe na tabia njema na asiwe muongeaji sana.
3. Umri miaka 18-23.
4. Kabila—mrangi,mnyaturu Au wenye asili ya kizanzibari (rangi awe mweupe na awe na nywele nzuri kichwani nyeusi zakuvutia ambazo sio kipiripirii ndio napenda).
5. BIKRA...muhimu sana kwangu....bikra zote mbele na nyuma.
6. Elimu Yoyote (nahitaji awe motherhouse), nataka nimfungulie biashara lakini mambo ya kufanya kazi Kwenye ofisi za watu sitaki.
7. Umbo— mrefu wa wastani,asiwe mwembamba wala asiwe mnene sana.
8. Awe ni msafii kiujumla (kimwili na kila kitu).
9. Awe anavaa mavazi yakusitiri mwili wake pasipo kulazimishwa.
Alie sereous karibu..