Natafuta binti wa kuanzisha mahusiano hadi kuoana

Natafuta binti wa kuanzisha mahusiano hadi kuoana

Kwa vigezo hivyo, kesho asubuhi ukiamka okota udongo nje umuumbe wako.
Na jua lilivyo kali ardhi imekauka mmh sidhani kama utapata udongo mzuri.
Anyway all the best
Usimkatishe tamaa mkuu, vigezo rahisi sana hivi apate wa kumuoa waishi maisha mema na family yake !
 
Hellow wapendwa,,mimi ni kijana wa kiume miaka 25 now,muislamu ,kabila ni msambaa wa lushoto,elimu ni daktar lakini pia ni askari,naishi daresalam.....nahitaji bint wakuanzisha mahusiano hadi kufikia kuoana vigezo ninavotaka [emoji1313][emoji1313]

1.awe muislamu na awe na hofu ya mungu sana.
2.awe na tabia njema na asiwe muongeaji sana.
3.umri miaka 18-23.
4.kabila—mrangi,mnyaturu Au wenye asili ya kizanzibari (rangi awe mweupe na awe na nywele nzuri kichwani nyeusi zakuvutia ambazo sio kipiripirii ndio napenda).
5..BIKRA.......muhimu sana kwangu....bikra zote mbele na nyuma.
6.elimu Yoyote (nahitaji awe motherhouse)....nataka nimfungulie biashara lakini mambo ya kufanya kazi Kwenye ofisi za watu sitaki.
7.umbo— mrefu wa wastani,asiwe mwembamba wala asiwe mnene sana.
8.Awe ni msafii kiujumla (kimwili na kila kitu).
9.Awe anavaa mavazi yakusitiri mwili wake pasipo kulazimishwa.

Alie sereous karibu....!
Mke unayemtaka ninae ila ukitaka nikupe itabidi tufanye biashara 😎!

Nakupa mke kwa pande tu huyo wife material wa kufa na kuzikana hana mambo mengi kabisa.
 
Hivi bikra ya backhole unakaguaje........................?


[emoji848]
 
Hellow wapendwa, mimi ni kijana wa kiume miaka 25 now, muislamu, kabila ni msambaa wa lushoto, elimu ni daktar lakini pia ni askari,naishi Dar es Saalam. Nahitaji binti wakuanzisha mahusiano hadi kufikia kuoana vigezo ninavotaka [emoji1313][emoji1313]

1. Awe muislamu na awe na hofu ya mungu sana.
2. Awe na tabia njema na asiwe muongeaji sana.
3. Umri miaka 18-23.
4. Kabila—mrangi,mnyaturu Au wenye asili ya kizanzibari (rangi awe mweupe na awe na nywele nzuri kichwani nyeusi zakuvutia ambazo sio kipiripirii ndio napenda).
5. BIKRA...muhimu sana kwangu....bikra zote mbele na nyuma.
6. Elimu Yoyote (nahitaji awe motherhouse), nataka nimfungulie biashara lakini mambo ya kufanya kazi Kwenye ofisi za watu sitaki.
7. Umbo— mrefu wa wastani,asiwe mwembamba wala asiwe mnene sana.
8. Awe ni msafii kiujumla (kimwili na kila kitu).
9. Awe anavaa mavazi yakusitiri mwili wake pasipo kulazimishwa.

Alie sereous karibu..
Ningekupa Demu wangu mmoja ivi sema anakosa kigezo kimoja tu Kuna Bikra 1 hana ila vigezo vingine vyote amavyo
 
Ulivyosema bikra mbela na nyuma nikasema bora umeweka hivyo maana huko zanzibari si haba[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom