Natafuta binti wa kuoa

Natafuta binti wa kuoa

skills man

Member
Joined
Nov 10, 2024
Posts
89
Reaction score
236
Mimi ni kijana wa miaka 23 ni mwajiriwa mpya katika jeshi Fulani Nina miezi 2 elimu degree ya upelelezi na Usalama ,Nafanya kazi kwenye taasisi ya jeshi Fulani natafuta Binti wa kuoa awe chini ya miaka 23 awe muislamu.
 
Kwaiyo baada ya kupata Kazi umeona uje utuambie kwa staili hiyo?
Hakuna binti utapata humu kwa matukio yenu wanajeshi tulioyaandika humu nyie wa hovyo sana
 
Kwaiyo baada ya kupata Kazi umeona uje utuambie kwa staili hiyo?
Hakuna binti utapata humu kwa matukio yenu wanajeshi tulioyaandika humu nyie wa hovyo sana
Tunatofautiana mioyo kaka
 
Unao wazazi?baba mkubwa baba mdogo hawa wapo?kama wapo then washirikishe hili wakutafutie wao binti mzuri wa tabia uoe.

Kizazi hiki siyo cha kutafuta mke kichwa kichwa utakutana na galasa maji uyaite mma.
 
Sawa
 
Mhh miaka 23 mbn mapema sana ndugu!! 23 uoe wa chini ya 23 daah n hatarii...
kila la heri afande, waazi!
 
Back
Top Bottom