Jamani mimi nimekua vya kutosha,nina miaka 30,
natuta binti wa kua aliekulia katika maadili yalo mema.
sifa sasa.
1.asiwe baunsa
2.mfupi sana na mnene sana sipendi.
3.shule si muhimu sana ila atleast f4 leaver
4.rangi siangalii ila awe msafi
5.mdomo kama chiliku sipendi
6.asiwe kishazaa au kuolewa wala kuwekwa kimada
ukiwa tayari nipe e-mail yako nikutafute