natafuta binti wa kuoa

natafuta binti wa kuoa

jobe ayoub

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
203
Reaction score
100
Jamani mimi nimekua vya kutosha,nina miaka 30,
natuta binti wa kua aliekulia katika maadili yalo mema.
sifa sasa.
1.asiwe baunsa
2.mfupi sana na mnene sana sipendi.
3.shule si muhimu sana ila atleast f4 leaver
4.rangi siangalii ila awe msafi
5.mdomo kama chiliku sipendi
6.asiwe kishazaa au kuolewa wala kuwekwa kimada

ukiwa tayari nipe e-mail yako nikutafute
 
Usijali Ana kuja sasahivi!
 
Na wewe sifa zako ni zipi? ebu funguka na wao kina kina dada wajue kama unawafit.
1. Je una kitambi?
2. wewe ni mfupi kama debe au lah!
3. Una Tembo card
4. una mtoto au huna? n:k
 
hizo tabia ulizoweka hupendi inafanya niwe na wasi wasi ww ni fataki. staili yako ni vibinti vidog dogo.
 
Mhh hapo kwa umri wako,kwa lugha uliyotumia, sifa unazohitaji,nina mashaka hakuna muoaji hapo ....Maelezo yako yanaonyesha hauko serious na wala si muhitaji wa ndoa.
 
Back
Top Bottom