Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tunaomba namba yako ya simu tafazali tuwasilianeHabari wataalam,
Ninatafuta binti wa kusaidia kutoa huduma ya kutoa dawa kwenye duka la dawa muhimu ambalo liko Dar wilaya ya Ubungo.
Sifa za muombaji lazima awe amepitia mafunzo ya ADDO na awena cheti.
Tuwasiliane inbox kwa wahitaji.