Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
kwa kada gani mkuu mana temeke mm ndo kona zangu hizi..... casual za cleaning au? kama una mtu wa kuwasiliana nae hapo niunge anipe tipsFanya hivi, nenda pale madawa ( MSD) keko kaulizie mishe nasikia kuna mishe za day worker pale