Natafuta Binti wa kuuza duka la nguo za mitumba

Kwema JF?
Kwa muendelezo Wa post hii, natafuta dada special Kwa ajili ya deliveries za nguo Kwa wateja. Maeneo ya Kazi ni Kigamboni. Asante Sana.
 
Nipe namba nikuunganishie kijana
 
Sawa mkuu. Ila isijekuwa ndo unatafuta mkee?? Weka na sifa nyingine kama ndivyo.
 
Kwema JF?
Kwa muendelezo Wa post hii, natafuta dada special Kwa ajili ya deliveries za nguo Kwa wateja. Maeneo ya Kazi ni Kigamboni. Asante Sana.
mkuu bado unatafuta?

maana nilikua nina mdogo wangu nataka nimuunganishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…