Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,669
Nina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
Una bei gani mkuu mi ninayoNina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
Mimi nauza gari lote linatembea vizuri tu, ukitaka uje na mln 10.Nina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
Haya magari hyataki janja janja. Kma unapesa za kuunga unga huwezi limudu. Ila ni gar nzur sana na imara.Umekaa nalo tangu jipya mkuu? Mbona nasikia haya magari ni pasua sana ? Unalimudu vipi?
Yap.Body complete?