Natafuta body ya Nissan xtrail nzur.

Natafuta body ya Nissan xtrail nzur.

Zero Hours

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2011
Posts
12,942
Reaction score
18,669
Nina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
9bfbf9264f1327edc6909c69eff082ce.jpg
 
Umekaa nalo tangu jipya mkuu? Mbona nasikia haya magari ni pasua sana ? Unalimudu vipi?
 
Mpigie 0715526812 yupo pale Victoria petrol station atakusaidia
 
Nina nissan x trail ilyopta ajali na body ya mble kuharbika kabsa. Natafta body nyingne niamishe engine, gear box na matair.
9bfbf9264f1327edc6909c69eff082ce.jpg

Tafuta X trail yenye body nzuri yenye ubovu kwenye engine na sehemu nyingine, NGUMU SANA KUPATA BODY ZIMA lisilokuwa na engine na gearbox ....
 
Umekaa nalo tangu jipya mkuu? Mbona nasikia haya magari ni pasua sana ? Unalimudu vipi?
Haya magari hyataki janja janja. Kma unapesa za kuunga unga huwezi limudu. Ila ni gar nzur sana na imara.
 
Back
Top Bottom