Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

madam Z

Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
10
Reaction score
18
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging
 
Karibu sana JamiiForums madam Z..........hapa waoaji tupo wengi nadhani utafanikiwa tu katika ombi lako.
 
Last edited by a moderator:
Ombi lako limemgusa mtu,,ana miaka 50
If ur willing ni PM nikuunganishe nae.
Kama hutaafiki nijibu hapa hapa ili isikupe tabu.
NAKUTAKIA MWITIKIO MWEMA
 
haya jamani mchumba huyoooo kajileta , mshindwe wenyewe🙂) lakini dada yangu kuwa makini sana na wasanii wa mapenzi hapa Bongo, fanya yote lakini kabla haMjafanya chochote muende kupima HIV
 
Poa. n pm chap....ila if u ar materail wife na try to reduce the time framefrom 10 to 6 months
 
Katavi vipi mkuu za miaka?mashallah naona malavi yametupa nafasi ya kuongea nawe tena
 
Haya bana wenye bahati zao fanyeni mambo
 
Ombi lako limemgusa mtu,,ana miaka 50
If ur willing ni PM nikuunganishe nae.
Kama hutaafiki nijibu hapa hapa ili isikupe tabu.
NAKUTAKIA MWITIKIO MWEMA

Mwambie tu ni wewe wala siyo mzee wa miaka 50, acha kuzunguka njia ndefu.
 
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging
Binti yangu kama uko serious kama ulivyo sema basi kwanza agana na Mungu baba, kwa njia ya maombi kama ulivyo sema kuwa unahitaji Mkristo, basi pitia njia ya maombi!!! Kwa sifa zingine kweli wewe ni sawa, mama Ndigo Baba Msambaa kama kweli una sifa za undani basi hakuna shaka ni vyema!!! Tulia kwenye maombi shirikisha Mchungaji wako usiwe na haraka, usijitoe bure ili kufurahisha watu, utafanaikiwa ila chunga usijiharibu, maana shetani anajua lengo lako atakuletea majaribio, kushinda lazima umshirikishe Bwn Yesu!! Ubarikiwe!!!

Back
Top Bottom