Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

Natafuta boyfriend atakayekuwa mume wangu baadae!

madam Z kwanini hata tuliachana, haipendezi kuweka hadharani mambo yetu hapa jamvini, ungesema tu unahija boy friend.. Ujue mie ninakupenda na ninaendelea kukupenda?
 
Last edited by a moderator:
Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.
hapo ndo mimi ninayo, njoo ila usikimbie, maana nina kipaji kanipa mungu. utatendewa haki haina haja ya kwenda kuomba msaada wa kisheria ya masuala ya kitandani. karibu uamuzi ni wako. ukitaka raha utapewa.
 
Mwambie tu ni wewe wala siyo mzee wa miaka 50, acha kuzunguka njia ndefu.

saudari
Aaaa Mkuu,,mie bado mdogo..tunajitahidi sana kuwaunganisha wajaribu bahati zao.
Mie nasubiri jibu la Purple kwa nini nijifiche
 
Last edited by a moderator:
M2mish we2 uko sawa kwa huo ushauri. mie npo tayar but uchumba kwanza. afu uwe m7to ki iman. nichek knye naxfra@yahoo.com
 
Wazushi tu hawa...mie nshatuma PM mpaka nimechoka! Juzi juzi mmoja kanikosesha Smile hivi hivi!
 
Last edited by a moderator:
Hi naitwa abdalah ninaishi mwanza my email Kkajuna@gmaii.com elimu yangu master degree
Habari,

Nadhani nipo katika jukwaa sahihi la mahusiano. Mimi naitwa xx, mzaliwa wa Pangani Tanga kwa mama Mdigo na baba Msambaa. Umri wangu ni miaka 26. Nimemaliza first degree (BA-Econimics) mwaka jana, UDSM. Nimewahi kuwa na uhusiano na mkaka fulani kuanzia mwaka wa kwanza hadi mwaka jana tulipomaliza chuo tukaja kuachana kwani niligundua ana wasichana wengine na mwishowe alinitamkia kuwa anayetaka kumuoa ni yy, na wala sio mimi.

Kimaumbile, ni mrefu wa wastani, rangi maji ya kunde (nadhani naeleweka). Si mnene sana lakini nina makalio makubwa ya wastani. Kwa sasa nimeajiriwa hapa Dar es Salaam katika NGO fulani maeneo ya Mikocheni na makazi ni maeneo ya kurasini.

Ningependa mwanaume wa aina yeyote kimaumbile lakini awe ni mwajiriwa/au aliyejiajiri....kabila ni yeyote ila awe ni mkristo.....na kama atakuwa muislam basi awe tayari kubadili dini. Sifa ya ziada, ni mwenye uwezo wa kuutendea haki mwili wangu katika mambo fulani.

Mahusiano yetu ya boyfriend na girlfriend yanaweza chukua miezi 10 hadi mwaka kabla hatujawa wachumba rasmi kwani naamini tutakuwa tumeshafahamiana.

Whoever's ready we can start having PMs exchanging
 
Back
Top Bottom