Natafuta boyfriend awezaye kuwa mume

Natafuta boyfriend awezaye kuwa mume

Hapo kwenye historia ya cheating, wewe haujawahi cheat?
 
mwaga details kamili mkuu....upo wap? age yako? unafanya kazi au mwanafunzi? na mengine mengi....
 
ahaa! napita tu....am single but am little bit old for this.....😛lane:
 
kuna mhubiri mmoja juzijuzi nilimsikia anadai moja ya dalili za kuwa dunia imekwisha ... ni wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa mitandaoni!? Nilidhani mpuuzi kumbe ....
 
kuna mhubiri mmoja juzijuzi nilimsikia anadai moja ya dalili za kuwa dunia imekwisha ... ni wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa mitandaoni!? Nilidhani mpuuzi kumbe ....

Kweli......daaah!
 
Cha muhm asiwe sharobaro pia asiwe ambaye amewah kuwa na hstoria ya cheating,

Labda mie sijui maana ya cheating au?

Kwa nini usingeweka awe bikra......ila unaamini kabisa kuwa utampata wa hivyo eeh?
 
Mi ndo mwenye sifa hizo lakin nna sharti moja tu Kitu mnato kama peni ya speedo ikitolewa kwa kasi kwenye kifuniko chake!
 
am at SAUT Mwanza, BaED 1yr 22 yrs,

Huyo mwanaume unamtakia wa nini? Hapa ukitaka weka link ya facebook yako hapa .. Faizafox alifanya hivyo hivyo akapata mume mtz sasa hivi wapo marekani alitimiwa tickets. So i advice you ufuate nyayo zake
 
Last edited by a moderator:
Ni PM # yako, unaweza ukawa wife material.
 
Back
Top Bottom