Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
weka picha yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je huyo muhubiri hilo andiko la wanawake kutafuta wachumba mitandaoni kuwa ni miongoni mwadalili za siku za mwisho kalitoa kitabu gani? ikiwezekana atupe andiko maana mitandao haikuwepo wakati wa mitume na manabii.
kuna mhubiri mmoja juzijuzi nilimsikia anadai moja ya dalili za kuwa dunia imekwisha ... ni wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa mitandaoni!? Nilidhani mpuuzi kumbe ....
am at SAUT Mwanza, BaED 1yr 22 yrs,