Natafuta boyfriend mwenzenu

Haya sasa. Kazi kwenu nyie mlioanza darasa la kwanza mkiwa na umri wa miezi sita.
 
Dada heading na ulichoandika ndani haviendani kwani naomba uelewe boyfriend can not make a good husband. Kwanza nina wasiwasi na wewe kwa sababu umevaa kaptula na mkanda halafu unataka uolewe na mtu mwenye akili zake alizosotea Chuo kikuu huku ukijua huna qualities.

Kwani wewe unafanya kazi gani au unatafuta matunda yaliyoiva ili uyachume tu?
 
My dear we bado mdogo sana at least subiri mpaka 25,and be carefully nitaku.pm nikuleze jambo
 
wee binti hujui utakalo, maana hata vigezo vyako si realistic sana.

Miaka 25 awe na kazi na bachala digirii??

Hamo!

Ni kweli kwa umri anaohitaji itabidi tu awahi kwenye vasite yoyote, hasa wakati wa tule tu-boom, ataopoa mwanachuo mmoja wa second year au third year amvumilie mwaka mmoja, miwili atakuwa tayari keshapata hako kabachelor, labda kama 'bachala' alimaanisha asiye na mke. Maana mademu wana lugha zao bana!
 
Tupo wengi 25 tuna kazi nzuri tu na maisha yanaanza na bright future sema tatizo lenu hatujatulia as we are hot on market, so tafuta wa 30 or late 20"s as wa age hiyo tunachagua chagua sana as hatujui tunataka nini?

Its very challenging date a 25 yrs of age man mwenye kazi nzuri, ka vitz ka kuzurulia mjini ambae ana bright future mbeleni lazima atakusumbua tu as anakua hajakua per diem na vimishahara vya firms vinamtia kiburi as no responsiblities on his mind than changing college girls, I am talking through experience kama mbish unataka wa age hiyo mwenye kazi nakushauri uje utege kpmg, pwc, delloite, ernst and young, sdv transami, pkf na kwingineko as wanapenda kuajiri watoto wanaotoka college straight
 
..naona unatafuta watoto wenzio! Nadhani unamaanisha boyfriend na sio mume.
 
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs

Tumia rangi ya kimahaba. Unatumia rangi nyekundu kama habari za kifo!. Mi umentisha bana. Mia
 
Yaan mie nakuona mpaka kwenye glass n pm basi kabla glass haijadondoka
 
Nipo hapa kidume cha ukweeeeee nitumie sms kwa 0713800800!!!
 
jaman msipate shida sana mie ni mwanamke wa kazi , nimesoma dipl ya bussines na ninafanya biashara zangu binafsi
 
jaman msipate shida sana mie ni mwanamke wa kazi , nimesoma dipl ya bussines na ninafanya biashara zangu binafsi
Wewe bado ni mdogo sana, wala huitaji kuwa na spidi ya kutafuta mchumba. Naamini bado una muda wa kutosha. Huna haja ya kutafuta wachumba wa huku mitandaoni, vuta subra na mungu atakusaidia
 
features za wasichana wanaotafuta bfriend mtandaoni most of them ni wanene sana....xory ni xperience yangu tu dada ihada usinimind
 
Kwa tamaduni zetu zilivyo wanaume watajiuliza WHY nyingi sana! Anyway wewe bado mdogo....tulia ufikirie zaidi biashara zako.

jaman msipate shida sana mie ni mwanamke wa kazi , nimesoma dipl ya bussines na ninafanya biashara zangu binafsi
 
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
wewe uko wapi mpenzi? hebu ni-pm tuone kama tunaweza kuanzia hapa
 
Waseja kazi kwenu.. Mi nimekumbatiwa na mama watoto muda huu.
Bado mapema sana binti utapata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…