mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,234
- 957
Haya sasa. Kazi kwenu nyie mlioanza darasa la kwanza mkiwa na umri wa miezi sita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
wee binti hujui utakalo, maana hata vigezo vyako si realistic sana.
Miaka 25 awe na kazi na bachala digirii??
Hamo!
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
My dear we bado mdogo sana at least subiri mpaka 25,and be carefully nitaku.pm nikuleze jambo
Is there a limit to write here?uswahili bwanaungemPM moja kwa moja, sio lazima umtangazie yeye na umma kwamba utamueleza jambo kwa PM
Wewe bado ni mdogo sana, wala huitaji kuwa na spidi ya kutafuta mchumba. Naamini bado una muda wa kutosha. Huna haja ya kutafuta wachumba wa huku mitandaoni, vuta subra na mungu atakusaidiajaman msipate shida sana mie ni mwanamke wa kazi , nimesoma dipl ya bussines na ninafanya biashara zangu binafsi
nipo hapa kidume cha ukweeeeee nitumie sms kwa 0713800800!!!
jaman msipate shida sana mie ni mwanamke wa kazi , nimesoma dipl ya bussines na ninafanya biashara zangu binafsi
wewe uko wapi mpenzi? hebu ni-pm tuone kama tunaweza kuanzia hapaMimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs