Majigo
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 5,519
- 1,828
Tumia rangi ya kimahaba. Unatumia rangi nyekundu kama habari za kifo!. Mi umentisha bana. Mia
umeona Eeh!?
Hahahahahaha!
CHANGANYIKENI VILLAGE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumia rangi ya kimahaba. Unatumia rangi nyekundu kama habari za kifo!. Mi umentisha bana. Mia
Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
mie hapa, come this way bishosti
vipi wataka kumsaga
Nipo hapa, ila niko zaidi ya 25yrs kwa miaka miwili. Ni-pm wasije wakaniwahi wengine.Mimi ni msichana wa miaka 22, natafuta mchumba wa kufunga nae ndoa, mwenye elimu angalau bach. mkristo ambae ana umri usiozid 25yrs
Haya sasa. Kazi kwenu nyie mlioanza darasa la kwanza mkiwa na umri wa miezi sita.
hii siyo customer care tigo
Nina bachela digirii ya ngumi na mateke,hapo vipi?