HahahahahahahaSijui niwe kama Mzee Malecela kwenye hili swala la diniii?π€π€
hakuna paulo MuslimNaitwa Paulo
Njoo pm tuzungumze
Hebu weka picha yako nikuone kama kweli uko serious. Sifa zote ninazoSina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar
SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed
Muslim
SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAE
Umri 30 - 40
Awe mrefu
Muslim
Employed/self employed
Mtoto badoHivi mbona hamsemagi hata mwanaume mwenye kuanzia hata 25yrs
Nakusubiri wewe sema tu unajichelewesha sanaMashallah Kila la kheri
......ndo tunaena kuitikia wito, tatizo mi ni kifupi nyundo, anyway ngoja ni jaribu bahati.....Maboyfriend mnaitwa huku
Niwe Mke wapili au wa nneπNakusubiri wewe sema tu unajichelewesha sana
Kaka yqnazungumzika ndio maana nimeandika hilo jina [emoji1]hakuna paulo Muslim
kijana
Uwe mke wa tatu bibie ππNiwe Mke wapili au wa nneπ
Mie Bado sanaUwe mke wa tatu bibie ππ
Acha uongo ujaoa ww kuku kishingo πSifa zangu
1. White
2. Handsome
3. Nina kitambi
4. Christian
5. Married
6. Currently unemployed
Atakubal kwel kuwa mke wa pili? π