Natafuta Boyfriend

Natafuta Boyfriend

Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar

SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed
Muslim

SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAE

Umri 30 - 40
Awe mrefu
Muslim
Employed/self employed
Kibonge😅😅 kila la kheri
 
Wakristo nafasi imefungwa

Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
Kule kwake kuko loose sana. Anatakiwa awe firm. Akizingua tu, chances za talaka ni 89.99%. Halafu anaongelea "serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja". Huku ni ku-bet.

Na boyfriend naye unaweka na masharti!!
 
Sijaona hata mtu mmoja ambaye anahitaji namba au kitambulisho Cha nida Kama sifa ya ziada[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
sifa zote hapo ninazo, ila najiuliza tu nin kimefanya ishindikane kuwa na mtu wa aina hyo kutoka kweny jamii na maisha yanayo kuzunguka physically....!!? Nijibu tafadhar
 
Sina mengi nna miaka 26 natafuta boyfriend for serious relationship tupendane na kuangalia nini future imetuandikia pamoja.. nipo Dar

SIFA ZANGU
White
Tall ft 5'5
Kibonge wastani
self employed
Muslim

SIFA ZA MWANAUME NIMTAKAE

Umri 30 - 40
Awe mrefu
Muslim
Employed/self employed
Sifa zote ninazo 🤔
 
Mawasiliano?
 
Huyu wa kwangu beibi tulizo la moyo wako nipo hapa fanya uje pm chapu mama la mama
 
Back
Top Bottom