COURTESY
JF-Expert Member
- Jun 16, 2011
- 2,006
- 709
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
i smell mizinga hapa,unatangaza njaa mapema hivi eboo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Kumbe kutokea Arusha kinaweza kuwa kigezo katika mapenzi eeh! sikujua, wapi Arushaone, PakaJimmy Mzee wa Rula Erickb52 Mungi et al, njooni huku, kigezo kimoja kigumu tayari mnacho, hivyo vingine vinatafutika
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
Wenye sifa hizo wengi ni serengeti boys au marioo!! Ukiwa Handsome +Unajua kusimamia Kucha hata usipokuwa na Hela utaongwa sana na mabinti....ur just lookin a niddle in the buches of hay..
Heheheheeee Baba V mwambie Mirhea naqualify sifa zote na ikiwezekana aniunganishe na acha wake!Kumbe kutokea Arusha kinaweza kuwa kigezo katika mapenzi eeh! sikujua, wapi Arushaone, PakaJimmy Mzee wa Rula Erickb52 Mungi et al, njooni huku, kigezo kimoja kigumu tayari mnacho, hivyo vingine vinatafutika
sema untafuta buzi,
Tht doesn't real work for me, I can give u money when I hv to bt nt because u f.uck me. insanly..