naomba unisaidie kujibu swali la huyo aliye kulia nje ya nchi. yeye anafikiri Ugali wa watu kumi mwanamke atauivisha!, namshangaa sana!. naandika kwa tabu sana. mia
Kwani una day care ya watu wazima nyumbani kwako?
Sasa boi (sio boyy) utapata kariakoo shimoni lakini upstairs. Ukishapaki vogue yako pale nje, usishuke ngazi, panda ngazi. Somewhere huko katikati utapata.
ngoja nibi rili. Mi ya pale Masama babangu..n yu
ngoja nibi rili. Mi ya pale Masama babangu..n yu
gerezani maeneo gani? pale naona mageti na masanduku ya chuma ya wanafunzi wa form one. mia
Mia nipe kazi ya kuwa nakusongea huo ugali,
kama wa ulezi/mahindi/muhogo/ngao/mtama/makashi/soya
nitakuwa nakuletea kwa ratiba utakayonipa mia,
kwanini upate tabu ya kupika pika na akina mama ntile tupo mia.
Mabeki3 wawili ! Mtaa niliokulia si haba!Wawili unao nani sasa? Wake ama mahausigeli?
Hivi umekulia Sorbibor wewe? Kama nakumbuka tulikuwaga tunakwea gari moshi pamoja?
figganigga mimi huwa najua inaitwa Kibanio.Mi ndo nafahamu. kwani wewe huwa unaiitaje bwana Katavi? mia
kwifwenda ro kyekue wa masama?
ngoja nibi rili. Mi ya pale Masama babangu..n yu
figganigga mimi huwa najua inaitwa Kibanio.
hivi toyo nayo ni vogue?
figganigga mimi huwa najua inaitwa Kibanio.
Inaitwa 'banio' sio kibanio bana! Katavi najua mnatumia ile ya mti, kama kipago cha manati. Unakanyaga na mguu, huo ugali hata wa watu mia unatoka softiii! Chezea kupika na kuni ama magunzi?
Mabeki3 wawili ! Mtaa niliokulia si haba!
Takriban Paka na Mbwa wa mtaa wote walikua wakiponea msosi kwenye pipa letu la taka.
Wewe utaupa image mfanano wake!
Hehehe! Ndo maana na mkeo umepeleka home akatunzwe na maza eeh? Hongera!
mi yapale mwikangoja nibi rili. Mi ya pale Masama babangu..n yu