Natafuta business mentor or coach wa kunishauri toka mwanzo hadi mradi wangu unasimama

Kig

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
1,076
Reaction score
458
Natafuta mtu wa kunifanyia mentoring or coaching katka harakati zangu za kuanzisha pre-primary school and hatimaye primary school. Ataifanya kazi hiyo tangu naanza mradi hadi tuhakikishe mradi umesimama. Sifa awe mtalaamu katika masuala ya business hasa katika elimu. Akiwa anamiliki shule inaweza kuwa vizuri zaidi maana naamini nitajifunza kwa vitendo na siyo maneno pekee. Na nitakuwa na imani naye zaidi kuliko yule anayeni coach wakati yeye hana mradi kama huo. Aliye tayari ani PM, ili tuangalie modality ya kufanya kazi na tuanze haraka iwezekanavyo endapo tutafikia muafaka.
Maelezo yanahusu mradi tuajadiliana baada ya kufikia makubaliano. Karibun sana.
 
https://portal.bidx.net/
 
Hivi kumbe watu wa hivo wapo kweli!!!.. unakua unawalipa!!?

wapo. itategemeana na makubaliano yenu. lakini wengi ni business consultant. Lakini nahitaji anaweza kuwa business consultant au mtu yeyote mzoefu na school management
 
Back
Top Bottom