Natafuta business partner

chief1

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2015
Posts
1,418
Reaction score
1,449
Habari Wana Jamiiforums!
Mimi ni mjasiriamali kwenye sector ya utalii, nipo Arusha. NATAFUTA mtu aliye serious kwaajili ya kufanya nae biashara, najua kuna watu Wana pesa au connection lakini hawajui wanapeleka au wanawekeza wapi,
Bado kuna fursa kubwa katika sector ya utalii hapa Tanzania,ukizingatia Tanzania Bado inapokea watalii wachache Sana ukilinganisha na uzuri was vivutio vilivyopo!
Huyu business partner ataprovide capital na Mimi nitaprovide expertise katika kuanza mpaka tutakapostablize operation zetu, mind you business ikienda vizuri ni mwaka mmoja tu mambo yanabadilika kabisa mkituliza akili
Najua jinsi ya kuoperate, marketing plans ninazo, na Nina website tayari pia
For a serious person please contact me
 
Opportunity nzuri..ila mikataba ya uandikishaji itakuepo ? Je wanasheria watakuepo kwenye kuandikishana? Mana watu wanabadilika kama upepo ..
 
Opportunity nzuri..ila mikataba ya uandikishaji itakuepo ? Je wanasheria watakuepo kwenye kuandikishana? Mana watu wanabadilika kama upepo ..
Mikataba lazima iwepo, na tunakuwa shareholders wa kampuni
 
Anatakiwa kuja na uwekezaji wa kiasi gani?
Hapo ni mazungumzo..hata facebook ilianza hivyo, eduardo severino ambaye alifund wazo alikuwa shareholder
 
Unajua kuzungumza lugha ghapi hapa duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…