Natafuta business partner

Natafuta business partner

muima

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2014
Posts
276
Reaction score
66
Mimi ni kijana mtanzania,natafuta business partner tudesign na kufanya biashara....mtaji tutashea. Mwenye wazo kama langu anipm tuyajenge.
 
Mkuu mwenye nia anani pm tunayapanga
 
Muima funguka zaid ili wna JF wenye mawazo kma yako pia wafunguke. Ujue kila Mtu ana interest zake, uwezo na uzoefu so ni muhim kujua wewe unawaza maeneo gani hta kama siyo specific sana lakin kujua tu una pendelea nn itasaidia kuwapata mapatna. lkn kwa ulivo andika itakuwa ngumu kuwapata au utapata w2 wachache.
 
mkuu tuingie kwenye transport
mabasi halafu malori
kama mtaji unasumbua tunaweza kuchanga tuanze na toyota DCM am,balo kama tukikomaa tunaweeza pata 200000 daily.
lipo mahala linahitaji marekebisho.
kama vp pm
 
Una mtaji kiasi gan hili tukuunganishe na vijana wenye wazo kama lako, ukificha ficha itakuwa ngum kusaidika
 
Muima funguka zaid ili wna JF wenye mawazo kma yako pia wafunguke. Ujue kila Mtu ana interest zake, uwezo na uzoefu so ni muhim kujua wewe unawaza maeneo gani hta kama siyo specific sana lakin kujua tu una pendelea nn itasaidia kuwapata mapatna. lkn kwa ulivo andika itakuwa ngumu kuwapata au utapata w2 wachache.

Mkuu hayo yote tunajadili pm,cha muhimu ni nia na mawazo kama yangu.
 
una biashara ilishaanza au una wazo? wazo liko kwenye maandishi au liko kichwani? wewe unapatikana wapi? hizo ni information za mwanzo kabisa ambazo zinatakiwa kuwa wazi.
 
Back
Top Bottom