Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muima funguka zaid ili wna JF wenye mawazo kma yako pia wafunguke. Ujue kila Mtu ana interest zake, uwezo na uzoefu so ni muhim kujua wewe unawaza maeneo gani hta kama siyo specific sana lakin kujua tu una pendelea nn itasaidia kuwapata mapatna. lkn kwa ulivo andika itakuwa ngumu kuwapata au utapata w2 wachache.
una biashara ilishaanza au una wazo? wazo liko kwenye maandishi au liko kichwani? wewe unapatikana wapi? hizo ni information za mwanzo kabisa ambazo zinatakiwa kuwa wazi.
Kijana ke/me?Mimi ni kijana mtanzania,natafuta business partner tudesign na kufanya biashara....mtaji tutashea. Mwenye wazo kama langu anipm tuyajenge.