jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
- #21
Nieleweshe, unamaanisha hapa Tanzania zile show room tuzionazo haziuzi gari ama ni mpya na sio used?
gari zile zinakuwa used toka japan ambapo kwa mfano gari aina ya ist inauzwa kuanzia 12.5m mpka 13.5m,wakati sisi tunaweza kuuza gari ya aina hyo hyo na quality hizo hizo kwa 9m