jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
- Thread starter
-
- #21
Nieleweshe, unamaanisha hapa Tanzania zile show room tuzionazo haziuzi gari ama ni mpya na sio used?
Basi zipo kampuni ambazo zinauza gari used hapa TZ. Ila wewe lengo lako ni kuuza kwa bei nafuu.gari zile zinakuwa used toka japan ambapo kwa mfano gari aina ya ist inauzwa kuanzia 12.5m mpka 13.5m,wakati sisi tunaweza kuuza gari ya aina hyo hyo na quality hizo hizo kwa 9m
Iyo zaidi ya 400 followers ni TelegramView attachment 1173128
upatikanaji wa magari kwa ajili ya uuzaji ni wa uhakika kwani tutakuwa na group zaidi ya 140 za magari za whatsapp pia zipo nyingne kwenye social media nyingne hivyo mteja hawezi kukosa bidhaa ya gari anayoitaka
MKUU JAMAA YANGU ANATAFUTA GX110 OFFER 4M
AU GX100 NAMBA C KWA 4M
MKUU JAMAA YANGU ANATAFUTA GX110 OFFER 4M
AU GX100 NAMBA C KWA 4M
watu wa IT ambao nimewaomba wao watasaidia hasa kwenye masuala mazima ya kuengeneza matangazo na hata apps za ofisi pia kwa wale wa marketing wao watakuwa wanakazi ya kuhakikisha kuwa ofisi inatambulika kila mahali ndani ya Tanzania pia kutafuta order za wateja.
Mfano kusambaza vipeperusha/banners kwenye ofisi tofauti tofauti na hata kutangaza ofisi sehemu mbali mbali online na hata physical.
Zoom Tz, Jumia, kupatana n.k wanauza magari used sana hivo siyo kampuni ya kwanza nyie kama mkifungua kazi.
Ingekuwa mnadeal na importation ya magari ingekuwa sawa lakini bado naona ipo changamoto ya kampuni kudeal na used cars haya magari ya mitaani, nisikuvunje moyo bado una nafasi hustle.hai hawajaspecialized kwenye magari tu mkuu hao wameweka platform ambayo mtu anaweza kuweka gar na kutafutana wenyewe na kumaliza biashara but sisi tunahakikisha usalama wa gari inayonunuliwa kuanzia kwenye documents mpka uzima wa gari kwa maana tunahusika direct kwenye biashara
Kuna watu watapigwa hapa
[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna watu watapigwa hapa
Nipo.mzeeView attachment 1173128
upatikanaji wa magari kwa ajili ya uuzaji ni wa uhakika kwani tutakuwa na group zaidi ya 140 za magari za whatsapp pia zipo nyingne kwenye social media nyingne hivyo mteja hawezi kukosa bidhaa ya gari anayoitaka
karibu dmNipo.mzee