Ipo kaziKuna kijana mmoja alikuwa yuko bize kusoma, bibi yake akamuuliza 'mbona unahangaika hivyo mjukuu wangu' kijana kajibu 'natafuta C moja tu bibi niingie form six' Bibi akadakia...Si uende branch ya CCM zipo mbili tena unapata tabu bure mjukuu wangu!!!
Anatafuta C moja aende form six na wala si form 5 kha?! Im out