Natafuta Canter tani tatu au tani tatu na nusu

Natafuta Canter tani tatu au tani tatu na nusu

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,530
Reaction score
6,942
Wadau nahitaji hiyo kitu bei yake yard ikoje? Kama kuna mtu pia anaiuza ambayo ipo in very good condition naomba aniambie bei yake, na vipi yard bei zake?

Nawasilisha
 
kwenye yard 32-35mln....kama unataka used kama uko dar nitafute ni pm # yako nkupe moja used iko katika hali nzuri...uje uione bei tutazungumza
 
Back
Top Bottom