Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,530 Reaction score 6,942 Aug 28, 2014 #1 Wadau nahitaji hiyo kitu bei yake yard ikoje? Kama kuna mtu pia anaiuza ambayo ipo in very good condition naomba aniambie bei yake, na vipi yard bei zake? Nawasilisha
Wadau nahitaji hiyo kitu bei yake yard ikoje? Kama kuna mtu pia anaiuza ambayo ipo in very good condition naomba aniambie bei yake, na vipi yard bei zake? Nawasilisha
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,490 Reaction score 138,365 Aug 28, 2014 #2 kwenye yard 32-35mln....kama unataka used kama uko dar nitafute ni pm # yako nkupe moja used iko katika hali nzuri...uje uione bei tutazungumza
kwenye yard 32-35mln....kama unataka used kama uko dar nitafute ni pm # yako nkupe moja used iko katika hali nzuri...uje uione bei tutazungumza