Daaah mkuu nenda pale Banana kwa mafundi carburetor na pia wanauza vida vya carburetor na kila ki2 kuhusu carburetor pale ndo suluhisho la matatizo ya carburetor sina namba zao ninge kuwa nazo ninge kupa ila fika mpaka pale banana ndgu utapata kila ki2 about carburetor