Natafuta Carburettor ya Kirikuu

Natafuta Carburettor ya Kirikuu

maalon

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2015
Posts
577
Reaction score
491
Natafuta carburettor ya suzuki carry maarufu kwa jina la Kirikuu.
 
Daaah mkuu nenda pale Banana kwa mafundi carburetor na pia wanauza vida vya carburetor na kila ki2 kuhusu carburetor pale ndo suluhisho la matatizo ya carburetor sina namba zao ninge kuwa nazo ninge kupa ila fika mpaka pale banana ndgu utapata kila ki2 about carburetor
 
Back
Top Bottom