Natafuta chimbo la chupi na kadeti

Natafuta chimbo la chupi na kadeti

Sacsosanct

Member
Joined
Sep 2, 2014
Posts
27
Reaction score
36
Wadau habarini.

Nipo Dar, nahitaji chimbo la uhakika kupata cardet kwa bei rahisi ya jumla chini ya 15,000 na chupi za kike, boksa, vesti na kadhalika.

Kariakoo kubwa. Anayejua anijuze tafadhali. Hata kama niwewe unauza na namba za simu pia.

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom