Natafuta Chumba cha 100,000/miezi mitatu

Yani chumba cha kupanga kiwe na kitanda?

Anyway, kwa gharama hizo 100,000K unapata nyumba nzima Masaki yenye full furniture.

Karibu sana mjini mkuu, naamin Ntwara umewaacha salama.
Zaidi ya Tsh 2T, mtoa mada anaweza hata kununua mkoa wa Pwani na akapewa Dar kama nyongeza.
 
Alafu sio 100,000K acha ushamba unajua ni bei gani hyo? Andika hivi 100K.

Alafu ndo mwnafunzi wa chuo mwaka wa kwanza? Kaz ipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani chumba cha kupanga kiwe na kitanda?

Anyway, kwa gharama hizo 100,000K unapata nyumba nzima Masaki yenye full furniture.

Karibu sana mjini mkuu, naamin Ntwara umewaacha salama.
[emoji23][emoji111] wa2 mnavisa
 
Sasa we unaemkandia unajua 100,000k sawa na bei gan? Inakuwaje akose chumba chenye kitanda? Tena kwa bei hy anapanga hata hostel na mabegi wa wanafunzi humo humo
 
Back
Top Bottom