Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Sasa we unaemkandia unajua 100,000k sawa na bei gan? Inakuwaje akose chumba chenye kitanda? Tena kwa bei hy anapanga hata hostel na mabegi wa wanafunzi humo humo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana ya "K" C ulichonacho katikati ya miguu yakounaelewa ulichoandika au unaiga iga tu, unaelewa maana ya K ni 1,000 sasa "chumba" gani titapangishwa 100,000K yani 100,000,000 (million mia)
nyie boda boda na kuiga iga muonekane mnajua kumbe patupu
Boss Sisi insta threads ndo nyumban, hivi haiwezekan kufuta maan watu tunashid ila ndo imekua jukwaa la mataniMtoa mada bado ni mgeni hapa jf [emoji23]
Namuombea msamaha kwa typing error aliyofanya.
Bado anasumbuliwa na vitu vigeni hapa 'mashikolo mageni'
Unaweza kuwasiliana na mods watoe hiyo k na ibaki 100,000 au waandike 100k kuweka maana uliyokusudia.Boss Sisi insta threads ndo nyumban, hivi haiwezekan kufuta maan watu tunashid ila ndo imekua jukwaa la matani