Jamani naomba yeyote anayekodisha chumba cha biashara Dar kilichopo sehemu nzuri ani PM tuwasiliane, hata kama ulisikia kipo sehemu plz help me. Ahsante.
Jamani naomba yeyote anayekodisha chumba cha biashara dar kilichopo sehemu nzuri ani PM tuwasiliane, hata kama ulisikia kipo sehemu plz help me. Ahsante.
Mimi napangisha kipo segerea (good location) 50,000/- per month kodi naitaji ya mienzi 6 kwa kuwa ni mwana jamvi mwenzangu .. Kuna jamaa amehamia mkoa kaondoka juzi ... Karibu ..