Wakuu habari,
Nimehamia Musoma hivi karibuni kwa ajili ya kazi na nimekuwa nikisumbuka kupata chumba kizuri cha kukaa (living room) kwa malipo ya kila mwezi.
Vigezo ninavyopendelea:
- Iwe maeneo ya mjini (karibu na barabara kuu)
- Mahali pasafi na salama
- Bei isiyo juu sana kwa malipo ya kila mwezi
- Inaweza kuwa na fanicha au bila fanicha
Kama kuna mtu anafahamu chumba kinachopatikana, dalali au mwenye connection yoyote, tafadhali tuwasiliane hapa au kwa DM.
Nitashukuru sana kwa msaada wowote.
Ahsanteni.