Titleless leader
Member
- Nov 24, 2023
- 16
- 16
NAOMBA MSAADA WA KUPATA CHUMBA KARIBU NA MUCE, IRINGA
Habari za wakati huu, wakuu.
Nimepata nafasi ya kujiunga na MUCE, Iringa, lakini ninatafuta chumba cha kupanga maeneo ya MUCE
Naomba msaada kwa yeyote mwenye chumba au anayefahamu mtu mwenye chumba karibu hata kama choo na bafu ni vya nje, sina tatizo, mradi eneo liwe salama.
Nitashukuru sana kwa msaada au taarifa yoyote itakayoniwezesha kupata malazi.