co fm
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,541
- 2,487
Habari za jioni humu ndani,
mimi ni kijana umri miaka 24 graduate katika chuo kimoja wapo hapa mjini Dar es salaam.
Katika mihangaiko ya hapa na pale nimepata kibarua maeneo ya mlimani city sasa nahitaji ushauri wenu nahitaji kupanga chumba maeneo karibu na maeneo ya kazi au hata kama nitapanda gari moja itakuwa poa naombeni ushauri wenu au muongozo ili nipate abc kabla sijaanza kutafuta chumba.
Bajeti chini ya laki moja kwa mwezi
Sent from my iPhone using JamiiForums