Kupitia uzi huu kuna wadau walionyesha kuwa serious wanataka vyumba maeneo mbalimbali toka jana ,nimekuja na full updates
1.Chumba single MSEWE 50,000/= kipo karibu na lichuo la Taifa UDSM na Chuo cha maji umbali wa dk 5 kwa mguu ,kina cealing board ,maji yapo,umeme kuchangia
2.Chumba single RIVERSIDE 50,000/= umbali dk 3 kutoka Mandela road
3.Chumba master RIVERSIDE 180,000/= umbali dk 10 kwa mguu kutoka Mandela Road full tires plus gypsum
4.Chumba KIBANDA CHA MKAA 80,000/= master full tires plus gypsum
5.Chumba na sebure MIKOCHENI 100,000/= maeneo ya Regence
6.Chmba Sebure TEMEKE -Kilwa road 70,000/= karibu na DUCE,TIA,Uhamiaji ,na chuo cha diplomasia chumba kipo umbali wa dk 15 kwenda kariakoo na hayo maeneo umeme unajitegemea,maji yapo,cealing board.
7.Chumba master KIMARA mwisho 100,000 mtaa wa matangini karibu na TRA umbali dk 30 kwa mguu kufika kituo cha mwendokasi.
8.Chumba master(3 rooms) mikocheni ,300,000/= umeme unajitegemea, slide window ,fence,parking
9.Chumba Sebure UBUNGO EXTERNAL 100,000/= umeme,maji,choo cha nje,fence no tires
Kama kuna mtu aliomba nimtafutie chumba jana sijamjibu anicheki tena chumba chenye parking majibu kesho asubuhi najuha kuna waliouliza.