Natafuta chumba cha kupanga karibu na Mlimani City

Natafuta chumba cha kupanga karibu na Mlimani City

Mwenge panakufaa kiasi chake. Sema graduates huwa mnakuwa na kaujinga flani ka kuona sehemu isiyo na lami ndanindani huko ni pabaya.
 
Hahahaha!
Kiduku Lilo tu ndie namuaminia yeye ndie top in Jf
Unaweza kuta naye anatokea Buza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
tapatalk_1580648049405.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hicho chumba kitakuwa ni hatari sana!! Inaonekana kina mbio kama magari ya Formula One!!
Hahaahahahhhh hiyo kiingereza nilipataga kalai chalii wng ,teacher wa english alikuwa akitinga class mm nasepa tunaenda
kugonga nondo za Calculus ,ma pure mathematics plus ma differential equations na malogalism base ten kama mtoto wa mama haumbulii kitu hapo.
 
TheDreamer Thebeliever chumba maeneo ya mabibo Makutano kinaweza kuwa shilingi ngapi na jee usalama wake kwa kukuza watoto upoje?
[/QUOT]
Chumba cha haina gani,funguka kidogo unipe mwanga maana naweza fikili single room kumbe ww unataka mu appartment wenye mbaka parking ,fence ,gypsum,tiles,mshuani,choo humo humo yaani kifupi weka wazi.
Kama unaona noma ni PM,maaana humu JF kila mtu ni big boss labda usingepend watu wajue unataka chumba cha giza au cha bei ya chini just feel free PM.
 
Sina haja ya kujificha na ndiyo maana ni "Verified User" nikijua wastani wa chumba "Single" au "Self Contained" ni shilingi ngapi naweza kufanya maamuzi,
Single zinaanzia 40,000/= cha umeme cha giza 20,000/=
Self zinaanzia 80,000/= nakuendelea fanya maamuzi sasa.
 
Bado kuna chumba masters na jiko ,tiles,gypsum ,maji yapo hapo hapo na kuna tank la maji,nyumba ipo kwenye fence mikocheni karibu na TMJ hospital.
Tahadhari :Nyumba haina parking na umeme wa kuchangia wapangaji wanne.
Kodi 120,000/= za kiTanzania.
 
Bado kuna chumba masters na jiko ,tiles,gypsum ,maji yapo hapo hapo na kuna tank la maji,nyumba ipo kwenye fence mikocheni karibu na TMJ hospital.
Tahadhari :Nyumba haina parking na umeme wa kuchangia wapangaji wanne.
Kodi 120,000/= za kiTanzania.
Boss wangu hakuna mahali una chumba cha 30 miezi mitatu au viwili kwa 50 ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss wangu hakuna mahali una chumba cha 30 miezi mitatu au viwili kwa 50 ndugu yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipo unataka chumba wapi Dar Es salaam hii ???Ila hela hizo 30,0000/= unapata chumba ambacho hakina cealing board ukiwa unafny mambo yko chumba cha pili jirani anasikia.
50,000/= chumba kina cealing board ukibahatisha gypsum au tiles ,
 
Back
Top Bottom