Kina nani wanasema???Sinza wanasema kuna wahuni wengi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kapange hapo hapo mlimani city, pale parking wanapangisha. Graduate wa bongo mnatuaibisha tusiosoma dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo na wewe kwa umri wako huo utaambukizwa uhuni?Kuna watu niliwaambia kuwa nahitaji chumba wakaniambia sinza sio pazuri kuna uhuni mwingi
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mambo ya kuomba ushauri mdg angu dah. Anyway hili NI jukwaa huruKwani ukiwa graduate hutakiwi kuomba ushauri kabla ya kufanya jambo?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kuna mambo ya kuomba ushauri mdg angu dah. Anyway hili NI jukwaa huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Wivu tu...Mimi nimeomba ushauri sijataka kejeli
Sent from my iPhone using JamiiForums