Natafuta Chumba cha kupanga Kibaha mjini, naomba msaada wenu.

Vitamin K

Senior Member
Joined
Dec 2, 2017
Posts
158
Reaction score
168
Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini.

Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi.

Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota kwenye bomba karibu ni sawa tu).

Kwa wenyeji na wazoefu wa mji wa kibaha kuhusu upangaji naombeni maoni na ushauri wenu kuhusu hili jambo.

Pia yeyote anayeweza kunisaidia namkaribisha PM kwa mawasiliano zaidi.

Ahsanteni.
 
Kuna chumba na seble kama unahitji nikuunganishe kipo karibu na Nida kiwanda cha mbu.
 
Anayeweza kunisaidia namkaribisha kwa mawasiliano zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…