Nahitaji chumba cha kupanga almaarufu kama GETO Kibaha mjini.
Kikipatikana maeneo ya Maili moja itapendeza zaidi.
Kiwe na huduma muhimu kama umeme, maji(hata yakiwa kwa upatikanaji wa kuchota kwenye bomba karibu ni sawa tu).
Kwa wenyeji na wazoefu wa mji wa kibaha kuhusu upangaji naombeni maoni na ushauri wenu kuhusu hili jambo.
Pia yeyote anayeweza kunisaidia namkaribisha PM kwa mawasiliano zaidi.
Ahsanteni.