Habari zenu.
Natafuta chumba cha kupanga kama kichwa cha mada kinavyo jieleza kiwe na hali nzuri kodi isiwe zaidi ya milioni moja na laki mbili kwa mwaka
Naweza kukiona kwa picha whatsapp +255656660223 samahani kwa usumbufu
Kipo chumba hapa posta ya sayansi nitafute nikupeleke
Hata hapa sayans kuna kampuni inaitwa ifm, ipo karbu n posta so hata mm nipo sahihi ndugu...anatakiwa aseme ss ni posta ip?....afu ww ndio jinga sana unapopewa habari usikurupuke