Natafuta chumba cha kupanga kiwe karibu na ifm posta ila sio kigamboni.

Baraka255

Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
73
Reaction score
14
Habari zenu.

Natafuta chumba cha kupanga kama kichwa cha mada kinavyo jieleza kiwe na hali nzuri kodi isiwe zaidi ya milioni moja na laki mbili kwa mwaka
 
Habari zenu.

Natafuta chumba cha kupanga kama kichwa cha mada kinavyo jieleza kiwe na hali nzuri kodi isiwe zaidi ya milioni moja na laki mbili kwa mwaka

Ninacho upanga kwa milioni 2 na laki mbili
 
Naweza kukiona kwa picha whatsapp +255656660223 samahani kwa usumbufu

Duh kimeshachukuliwa mchana huu, kama kitatokea kingine ukiwa bado aujapata nitakushtua mkuu, pole kwa usumbufu...
 
Hata hapa sayans kuna kampuni inaitwa ifm, ipo karbu n posta so hata mm nipo sahihi ndugu...anatakiwa aseme ss ni posta ip?....afu ww ndio jinga sana unapopewa habari usikurupuke
 
Hata hapa sayans kuna kampuni inaitwa ifm, ipo karbu n posta so hata mm nipo sahihi ndugu...anatakiwa aseme ss ni posta ip?....afu ww ndio jinga sana unapopewa habari usikurupuke

Jinga square!!! Hata bado umesahau kuna kampuni nyingine inaitwa Kigamboni ipo karibu na hapo sayansi kwako!! :hurt:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…